BAO LA SMAKU

„Policat“ inashauri: si chocolate tu – kitendo cha jinai katika kituo cha bus.

Mchezo wa dumna ukiwa na shabaha ”usinishike, ni mwili wangu”

Maelezo mafupi na ya juu

Mtoto wangu hatafanya hivyo usikubali kitu chochote kutoka kwa mtu usiyemjua na usiwahi mfuata mtu usiyemjua kila siku namwambia mtoto wangu hiyo inatosha

Kwa usaidizi wa bao la smaku polecat hushauri si chokoleti tu waweza kwa njia inayomfaa mtoto kushughulikia matukio mabaya ya hivi karibuni kwa njia ya kusikiliza kusema na kutazama ndani ya shule za chekechea au vipindi vya watoto wa ndogo wa shule kwa hivyo ni lazima  uweze kuinua viwango vya kusikila umakinifu na uwafanyie mazoezi ya kuwawezesha kusema hapana kwa kufanya kazi hii kadiri kuzuia hatari

Maoni ya mbinu za kufundisha

Kwa kutumia bao hili la smaku watoto wanaweza kuhuzishwa kuwasilisha vipindi vya somo hili usimfuate mtu usiyemjuausikubali zaw3adi yeyote kwa mtu usiye mjua ukitumia taswira ya mahali kitendo hiki kilitendeka yaani kituo cha basi unajenga mahali pale mtu asiyejulikana anataka kumpa mtoto zawadi kwa nini unataka kufanya hivi.

 Front

Front

 Back

Back

 

Ni vipi tunavyoweza kufanya kazi na smaku?

Sheria na masharti ya mchezo:
Mtoto hurusha dumna ili achague picha kutoka kwa zawadi zilizoko na sasa huweka kibao cha smaku katika kiwanja chekundu kilicho na alama ya mshangao hii ina maanisha mgeni amempa mtoto zawadi: kunakitu kimefanyika.
“policat” upeana ushauri wakati kitu kimefanyika pekee kwa hivyo mtoto anapaswa kurushwa dumna na kutumia kibao cha smaku kinacholingana na bao la smaku kilichowekwa katika mraba wa rangi ya kijani-samawati iliyo na alama ya kiulizi

Kazi: kujadili kuhusu hali mahali kilichotendeka kitendo cha jinai

Mikuki ya manjano (mikuki inayotua kuonyesha mahali kitendo hicho cha jinai kilifanyika) ndio inayotumika kuelezea zaidi kuhusu mahali pale.alama zote navitendo vyote katika mahali pale pa kitendo hicho yapaswa kuonyesha kimoja kwa kimoja na viweze kuorodheshwa kama vile: mtelezo wa alama za magurudumu ya magari (hapa iwe nyeusi kuonyesha mpira uliopotea) ishara ya kituo cha basi,maegesho ya basi,vichaka vilivyo vunika barabara vinjia vya mawe (hapa mawe yaliyo pangwa kwa umbo la mstastili) na mengi zaidi.

 

Vifaa
• 1 vibao sita vya smaku vyenye kibao cha rangi nyekundu na picha ya zawadi/majaribu,inayetenda kitendo.
• 2 dumna moja iliyo na picha za zawadi/majaribu
• 3 vibao vine vya smaku vyenye kibao rangi ya kijani na picha ya kuonyesha vile unachukua hatua haraka.
• 4 vibao viwili vye kibao cha rangi ya samawati na maelezo ya vile upaswi kufanya.
• 5 dumna sira zilizo na picha za vile wapaswa kufanya kwa pamoja (kibao cha rangi ya kijani) vile wapaswa kufanya (kibao cha rangi ya samawati).
• 6 mkuki mmoja wa rangi ya manjano (uonyesha alama zilizoko mahali pale pa kitendo).

Übersetzt von: Teacherteam by Elimu Ya Kenya Schule Altenburgerland
Mit freundlicher Unterstützung des Vereins „education4kenya“