KARIBU!

Karibu kila wiki utasikia au kusomsa kwenye vyombo vya habari kuhusu dhuluma juu ya watoto wadogo. Tuna mipango ya dharura kuhusu ukurasa hau ili kusadia visa kama hivi au kuzuia vitendo hivi vinavyotokea. Kwa haya tumeweza kuibuka na vitaa vya kuwezesha watoto wasome pamoja na walimu wao na pia jamii ili waweze kujua njia nzuri au bora ya kuepukana na watu wasiowajua na kutoshirikiana nao, na kupata u wezo wa kukabiliana nao. Watoto wanashauriwa waseme „hapana katika nyati hizo mbaya na waweza kuriporti visa hivyo kwa wazazi au kwa watu wengine wanaoweza kuwasaidia“.

Kwa miezi iliyopita hapo nyuma mirandi mingi imeweza ku fanywa katika taasisi ili kuwangalia watoto katika jimbo la ALTENBURG ikitumia vifaa vya murandi wetu wa kwaza uitwao „Nina and the stranger“ watoto wengi katika shule ya chekechea na hata wale walio kwenye vitabu na pia watu wakubwa katika mikutano ya wazazi na pia watu wakubwa katika vitengo vya mafunzo waliweza kufahamishwa kuhusu doli ili liitwalo „policat“ na lengo. Kutokana shughuli hizi zote tomeweza kupata tajiriba na pia pokea maoni ya kutupa changamoto ili tuweza kuboresha na kuendeleza murindi au wetu.

Kutokana na matokeo yalio wasilishwa kutoka kwa kazi tulio ifanya hapo nyuma tuliweza kuibuka na murandi wa pili kiini kikubwa cha murandi huu ni kufundisha watoto kwa njia ya mchezo lakini inayopendeza ili wajue kitu cha kuwandanganya ambacho kinweza kutumia na wanotenda vitendo hivi. Si chokoleti peka mbali kuna zawandi zingine kwa sabubu hii tuliibuka na mchezo wa dumuna pamojo na bao la smuku. Mchezo huu umefanyiwa mahali kitendo hicho cha jinai kilifanyika yaani katika kituo cha bus. Tuliweza kuwapa nafasi watoto wakikundi cha miaka minne hadi mitano kwa njia ya kimchezo ili waweze kuelewa vitendo hivyo vibaya katika jamii yao kupitia mwongozo wa walimu wao wa chekechea na viongozi wa vikundi vyao vya michezo. Katika muktadha kiini ni „usinishike, nimwili wangu“  itaweza kupatikana. Watoto wapaswa kusoma kuigiza wakijiamini na ku weka taadhima yao ya kimwili.

Doli letu „policat“  ambalo hapo mbele lilitengeneza jina kama kizuizi katika jimbo la ALTENBURG linatumika kama kielelezo.

Jina ili „policat“ halimaanishi peka kifaa kilichotolewa kwa ajili ya „Nina and the stranger- kwa dhuluma za kingono kwa watoto – kitendo kinachotokea anapoelekea shuleni- kujua na kuzuia“ (murandi wa kwanza) bali pia na doli laini lilofanana na paka likionyesha askari wakike au wakiume kutoka nchini Ujerumani.

Doli ili „policat“ la inchi kumi na sita (sentimita 40) kwa kimo si doli la kawaida na haikupangiwa kuwa hivyo kutoka kwa mazoea yaliyopatikana mara nyingi katika uwasilishaji kwa taasisi za watoto katika kuanzisha  kiwango cha kuzuia matokeo tuligudua watoto waliweza kujihisi huru na doli hili laini lapaswa kutumiwa kama mfano wa  sikio lililofunguliwa na kusaidia walimu.

Policat doli laini linalipima futi tano sentimita 150 ambalo hupatikana katika maelezo na uwasilishaji wa matukio katika miradi yote.

Steffen Gründel na Walburga Gründel-Syring

Übersetzt von: Teacherteam by Elimu Ya Kenya Schule Altenburgerland
Mit freundlicher Unterstützung des Vereins „education4kenya“